Biashara Bubble Tips 2019 icon

Biashara Bubble Tips 2019

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

2.0Free4 years ago

Download Biashara Bubble Tips 2019 APK latest version Free for Android

Version 2.0
Update
Size 9.71 MB (10,176,972 bytes)
Developer Alianda
Category Apps, Business
Package Name pata.donge
OS 4.1 and up

Biashara Bubble Tips 2019 APPLICATION description

Je unataka kufungua biashara? App hii itakudokezea njia tofauti tofauti.
Bubbles za Biashara:

Bubbles za biashara ni App ambayo itakuwezesha kujiboresha Kibiashara. App hii ni ya watu ambao wanataka kufungua biashara Ndogo Ndogo ama Business ideas kwa mtu wamapato ya chini kabisa.

Je unataka kuanzisha biashara, side hustle ama kufungua bishara yako? Basi App hii ni ya manufaa sana kwako na ina kupa fursa ya kumiliki biashara yako.

Bisahara ni kitu cha umuhimu kwa nchii yeyote ama familia. Biashara ina kuwezesha kupata mapato yako ya kibinafsi n ahata unaweza kuajiri watu wengine ambao wana tafuta kazi.

Utapata yafuatayo:

- Itakuwezesha kufukuza uma sikini;
- Itakuwezesha kuwa mbunifu.
- Itakuwezesha kuwa na pesa nyingi kwa benki.
- Itakuwezesha kufungua kiwanda chako usoni.
- Itakuwezesha kupata pesa nyingi kama safaricom.
- Itakuwezesha kuanzisha biashara;
- Itakuwezesha kuongeza mapato;
- Itakuwezesha kuajiri watu wengine ama ajira kwa wengine;
- Itakuwezesha kuishi maisha mema;
- Itakuwezesha kuwa tajiri;
- Itakuwezesha kujitegemea.

Biashara ama Business ideas kama vile:

- Bisahara ya Mpesa
- Bisahara ya Kuuza Mitumba
- Bisahara ya Kungarisha Viatu
- Bisahara ya Kadi za Simu
- Bisahara ya Kuuza Njugu
- Bisahara ya Kuuza Chai ama Uji
- Bisahara ya Kuuza Mahindi
- Bisahara ya Kuosha Magari
- Bisahara ya Kuuza mayai
- Bisahara za Sokoni
- Bisahara ya Kinyozi
- Bisahara ya Upodozi
- Bisahara ya Stationary
- Bisahara ya Magodoro
- Bisahara ya Bakery
- Bisahara ya Kilimo
- Bisahara ya Kuuza Mikoba
- Bisahara ya Kuuza Chakula
- Bisahara ya Kutengeneza Sabuni
- Bisahara ya Boda Boda
- Bisahara ya Kufuga Kuku
- Bisahara ya Kuuza Ndizi
- Bisahara ya Kuchapisha Nakala
- Bisahara ya Kuuza Nyanya
- Bisahara ya Kuuza Vitungu
- Bisahara ya Movie Shop
- Bisahara ya Kushona Nguo
- Bisahara ya Butchery, n.k.

Watakao tumia App Hii:

- Hustlers
- Watu wenye hawana kazi
- Wavumbuzi
- Wafanyi biashara
- Wanafunzi
- Watu ambao wanataka kuwekeza, n.k.

Nchi za kufungua biashara:

- Fungua Biashara Tanzania
- Fungua Biashara Kenya
- Fungua Biashara Congo
- Fungua Biashara Burundi
- Fungua Biashara Rwanda
- Fungua Biashara Sudan
- Fungua Biashara Nigeria
- Fungua Biashara Uganda
- Fungua Biashara South Africa, n.k.

Mwisho:

Je unataka kufungua biashara? Je una mapato ya chini na hauna business ideas? Download, Rate na Share App hii.
↓ Read more
Biashara Bubble Tips 2019 screen 1 Biashara Bubble Tips 2019 screen 2 Biashara Bubble Tips 2019 screen 3 Biashara Bubble Tips 2019 screen 4 Biashara Bubble Tips 2019 screen 5 Biashara Bubble Tips 2019 screen 6 Biashara Bubble Tips 2019 screen 7

Old versions

Version Size Update
⇢ 2.0 (1 variants) ↓ 9.71 MB ◴ 4 years ago
⇢ 1.0 (1 variants) ↓ 9.67 MB ◴ 4 years ago