Biblia Takatifu ya Kiswahili icon

Biblia Takatifu ya Kiswahili

★★★★★
★★★★★
(4.81/5)

5.6.5Free4 years ago

Download Biblia Takatifu ya Kiswahili APK latest version Free for Android

Version 5.6.5
Update
Size 7.42 MB (7,785,167 bytes)
Developer ⭐ Wiktoria Goroch ⭐
Category Apps, Books & Reference
Package Name wiktoria.goroch.biblia_habari_njema.AOURZCPHPCDGLMPT
OS 4.1 and up

Biblia Takatifu ya Kiswahili APPLICATION description

The Holy Bible in Swahili - Swahili Bible
Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
↓ Read more
Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 1 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 2 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 3 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 4 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 5 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 6 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 7 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 8 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 9 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 10 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 11 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 12 Biblia Takatifu ya Kiswahili screen 13

Old versions

Version Size Update
⇢ 5.6.5 (1 variants) ↓ 7.42 MB ◴ 4 years ago
⇢ 5.5.2 (1 variants) ↓ 6.46 MB ◴ 4 years ago
⇢ 5.5.1 (1 variants) ↓ 5.76 MB ◴ 5 years ago