Chombezo Media icon

Chombezo Media

★★★★★
★★★★★
(4.30/5)

2.0Free3 years ago

Download Chombezo Media APK latest version Free for Android

Version 2.0
Update
Size 15.75 MB (16,518,409 bytes)
Developer Chombezo Media
Category Apps, Books & Reference
Package Name com.chombezomedia.vitabu
OS 4.1 and up

Chombezo Media APPLICATION description

SOMA : HADITHI >> NDOA >> MADA >> MIKASA >> UCHAMBUZI MITINDO >> MESEJI >> N.K
Sasa Unaweza Kusoma na Kujifunza mambo mbalimbali Kupitia App hii ya CHOMBEZO MEDIA... Tuna vipengele vingi Uvipendavyo kama ifuatavyo


>> CHOMBEZO
Hapa Utaweza kusoma Hadithi, LoveStory, Na nyingine nyingi za watunzi mbalimbali hapa nchini,.... Mtunzi / Mwandishi, Tutumie Kazi yako hapa +255714419487 WhatsApp


>> KUHUSU NDOA
Hapa Utaweza kujifunza namna ya kuishi na Mume / Mke au Mahusiano, Uliza swali lako juu ya ndoa au mahusiano yako, na utajibiwa,... Uliza swali kupitia Comment... Hakikisha umejisajili

>> MIKASA
Hapa Utaweza kujifunza yale yaliowakuta watu katika maisha au mahusiano yao, Na hata wewe msomaji unaruhusiwa kututumia mkasa wako ili tukushauri au msaada kwa namna moja au nyingine +255714419487 WhatsApp

>> MADA MUHIMU
Hapa Utaweza Kujifunza Mambo mbalimbali Yanayo ulizwa na watu, hivyo tutaweka maswali ya watu humu na kuyajadili kama MADA ya siku, tutumie Mada yako leo +255714419487 WhatsApp

>> UCHAMBUZI WA FASHION
Hapa Utaweza Kujifunza jinsi ya kuvaa au kusuka kwa namna tutakavyo chambua mavazi au nywele,.. Kama utahitaji kuchambuliwa wewe na vazi au nywele zako, basi tutumie picha zako tukuchambue Fashion yako wa nywele au vazi ulilovaa, utapewa ushauri au kukosolewa usikasirike +255714419487 WhatsApp

>> MESEJI TAMU
Hapa Utaweza Kujifunza namna ya kumtumia meseji mwandani wako, usikurupuke kutuma meseji, huenda ikamchukiza kutoka na mudi alionayo leo,.. Ukiwa na meseji tamu tutumie +255714419487 WhatsApp

>> UDAKU
Hapa Utaweza kupata habari za burudani na wasanii mbalimbali duniani kote

>> HABARI
Hapa Utaweza kupata habari mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi

>> MUZIKI
Hapa Utaweza kuona ama kujua ni muziki gani unatamba duniani kote... Utaweza kupakua Audio na Video uitakayo hapa

HUDUMA ZOTE HIZO UTAZIPATA CHOMBEZO MEDIA PEKEE, HAKUNA MALIPO YEYOTE ZAIDI YA KUJISAJILI ILI KUTOA USHAURI AU KUULIZA MASWALI NA UTAJIBIWA NA MTOA MADA... KARIBUNI SANA
↓ Read more
Chombezo Media screen 1 Chombezo Media screen 2 Chombezo Media screen 3 Chombezo Media screen 4 Chombezo Media screen 5 Chombezo Media screen 6 Chombezo Media screen 7 Chombezo Media screen 8

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.2 (1 variants) ↓ 7.85 MB ◴ 3 years ago
⇢ 1.0.1 (1 variants) ↓ 4.60 MB ◴ 4 years ago
⇢ 1.0.0 (1 variants) ↓ 4.60 MB ◴ 4 years ago