Ticha Zungu - Jifunze English icon

Ticha Zungu - Jifunze English

★★★★★
★★★★★
(4.85/5)

1.5.3Free3 weeks ago

Download Ticha Zungu - Jifunze English APK latest version Free for Android

Version 1.5.3
Update
Size unknown
Developer Increate Technologies
Category Apps, Education
Package Name com.dala.dalaticha
OS 5.0

Ticha Zungu - Jifunze English APPLICATION description

Learn English in Kiswahili Online with Ticha Zungu.
JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU!

> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, siku yoyote unapokuwa na nafasi.

-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:
- Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.

- Sehemu ya kusikiliza video ya somo.

- Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake, namna yanavyotamkwa, na kurudia kuyatamka.

- Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza, kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa, na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.

-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa, na ukikamilisha miezi mitatu Kiingereza hakitokusumbua tena.

-> Ada ni 10,000 na ni ya muda wa miezi mitatu.
↓ Read more
Ticha Zungu - Jifunze English screen 1 Ticha Zungu - Jifunze English screen 2 Ticha Zungu - Jifunze English screen 3 Ticha Zungu - Jifunze English screen 4 Ticha Zungu - Jifunze English screen 5 Ticha Zungu - Jifunze English screen 6 Ticha Zungu - Jifunze English screen 7 Ticha Zungu - Jifunze English screen 8 Ticha Zungu - Jifunze English screen 9 Ticha Zungu - Jifunze English screen 10 Ticha Zungu - Jifunze English screen 11 Ticha Zungu - Jifunze English screen 12 Ticha Zungu - Jifunze English screen 13 Ticha Zungu - Jifunze English screen 14 Ticha Zungu - Jifunze English screen 15 Ticha Zungu - Jifunze English screen 16 Ticha Zungu - Jifunze English screen 17 Ticha Zungu - Jifunze English screen 18 Ticha Zungu - Jifunze English screen 19 Ticha Zungu - Jifunze English screen 20 Ticha Zungu - Jifunze English screen 21 Ticha Zungu - Jifunze English screen 22 Ticha Zungu - Jifunze English screen 23 Ticha Zungu - Jifunze English screen 24 Ticha Zungu - Jifunze English screen 25 Ticha Zungu - Jifunze English screen 26 Ticha Zungu - Jifunze English screen 27 Ticha Zungu - Jifunze English screen 28 Ticha Zungu - Jifunze English screen 29 Ticha Zungu - Jifunze English screen 30 Ticha Zungu - Jifunze English screen 31 Ticha Zungu - Jifunze English screen 32