Fuga Kibiashara icon

Fuga Kibiashara

★★★★★
★★★★★
(4.50/5)

1.0Free6 years ago

Download Fuga Kibiashara APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 10.11 MB (10,601,503 bytes)
Developer Mr Mbena
Category Apps, Education
Package Name com.fuga.kibiashara
OS 4.0 and up

Fuga Kibiashara APPLICATION description

App hii ya fuga kibiashara inakupa fulsa ya kujifunza ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. Pia unajifunza kufuga kisasa mifugo mingine yoyote unayopenda.

App hii Inaendeshwa na mtaalamu wa kilimo na ufugaji aliyesomea chuoni na kutunukiwa cheti cha ufaulu mzuri kwenye masomo yake hivyo utapata elimu sahihi na utaboresha ufugaji na kilimo bure kabisa.

Hata ukiwa kijijini ambako kuna upungufu wa watalamu wa kilimo na ufagaji bado mwalimu huyu utakuwa naye kwa kupitia app hii.

Iweke sasa app hii kwenye simu yako ili uweze nufaika na elimu inayotolewa na uweze kuuliza swalii lolote kuhusu ufugaji au kilimo.
↓ Read more
Fuga Kibiashara screen 1 Fuga Kibiashara screen 2 Fuga Kibiashara screen 3 Fuga Kibiashara screen 4 Fuga Kibiashara screen 5

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.0 (3 variants) ↓ 10.11 MB ◴ 6 years ago