Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu icon

Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu

★★★★★
★★★★★
(5.00/5)

1.1.9Free3 months ago

Download Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu APK latest version Free for Android

Version 1.1.9
Update
Size 5.47 MB (5,730,713 bytes)
Developer Mshindo Media
Category Apps, Productivity
Package Name com.ufugaji.Vetcare
OS 4.1 and up

Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu APPLICATION description

Tumejikita katika kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao.
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website: www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
↓ Read more
Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 1 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 2 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 3 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 4 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 5 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 6 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 7 Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu screen 8

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.1.9 (1 variants) ↓ 5.47 MB ◴ 3 months ago
⇢ 1.0 (1 variants) ↓ 7.96 MB ◴ 4 years ago
⇢ 1.1.7 (1 variants) ↓ 9.16 MB ◴ 7 months ago