Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili icon

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free2 years ago

Download Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 13.43 MB (14,080,597 bytes)
Developer K Technologies
Category Apps, Books & Reference
Package Name com.hadithi_40_za_imamu_nawawi
OS 4.1 and up

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili APPLICATION description

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
↓ Read more
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 1 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 2 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 3 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 4 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 5 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 6 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 7 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 8 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 9 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screen 10