Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo icon

Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo

★★★★★
★★★★★
(4.10/5)

2.2Free5 months ago

Download Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo APK latest version Free for Android

Version 2.2
Update
Size 18.16 MB (19,037,758 bytes)
Developer Rubega Developers
Category Apps, Music & Audio
Package Name com.harmonize.wcb.wasafi
OS 4.2 and up

Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo APPLICATION description

Tazama shows na miziki ya KondeBoy hapa | Kuhusu Konde Muzik na Mengine mengi
Tumehama Rasmi, App mpya kwaajili ya Konde Boy tu, Mashabiki wote wa Konde Jeshi tumieni App hii kutazama Video au kusikiliza Audio Mpya ya Jeshi na mambo yote yanayomuhusu KondeBooy.
Kwanza kabisa, hakikisha umeinstall youtube app ili kuwezesha kutumia app hii. Kwa wanaotumia youtube go, tafadhali install pia youtube app.

KondeBooy Fans App | Tazama kila kitu cha KondeBoy kupitia app hii. Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Konde Boy.

Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii.

Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za Harmonize kila zinapotoka.

Programu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki. Pakua programu hii bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet, Epuka matapeli.

Pia, Hii Ni Fans App, kama unampenda konde Boy basi App hii inakufaa, toa Support kwa Mwanamziki wa Tanzania yaani Mbunge mtarajiwa. All the best Konde Boy.

Kanusho

Hii ni programu isiyo rasmi. Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi. Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki hao. Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika. Asante.
↓ Read more
Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo screen 1 Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo screen 2 Harmonize | Jeshi | Ushamba | New song - Wapo screen 3

Old versions

Version Size Update
⇢ 0.0.7 (1 variants) ↓ 11.76 MB ◴ 3 years ago
⇢ 0.0.6 (1 variants) ↓ 6.86 MB ◴ 4 years ago
⇢ 0.01 (1 variants) ↓ 5.46 MB ◴ 4 years ago