Jamaa Online icon

Jamaa Online

★★★★★
★★★★★
(5.00/5)

1.0Free5 years ago

Download Jamaa Online APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 53.71 MB (56,323,288 bytes)
Developer UmojaApps
Category Apps, Social
Package Name com.jamaaonline.Timeline
OS 4.4W and up

Jamaa Online APPLICATION description

Jamaa online is the social network app that you should not miss in your life. Install it today and explore unique and amazing social network services/features.

Hakika mtandao wa jamaa online ni mtandao wa kizalendo wenye nia ya kuwasaidia Watanzania kujikwamua kiuchumi.

Ukiweka app hii kwenye simu yako utapata habari, matukio, elimu juu ya uanzishaji biashara bila hata ya kuwa na mtaji.

Hadithi za kusisimua na mengine mengi ambayo yanatolewa na wadau walioweka app hii kwenye simu zao.

Ndani ya app hii unaweza kuchat na marafiki toka mkoa wowote wilaya yoyote na hata rafiki ambaye yupo mtaa mmoja na wewe.

Mengine zaidi yanayopatikana kwenye app hii

Kila like unayopata kwenye post zako ni pesa, Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Unaweza kumtafuta mchumba na kumpata kirahisi sana

Unaweza kupiga picha na kushare na marafiki pia unaweza ksuhare chochote hata video au file lolote. Weka app hii sasa
↓ Read more
Jamaa Online screen 1 Jamaa Online screen 2