Jinsi ya Kufanikiwa icon

Jinsi ya Kufanikiwa

★★★★★
★★★★★
(3.79/5)

4.0Free4 years ago

Download Jinsi ya Kufanikiwa APK latest version Free for Android

Version 4.0
Update
Size 5.01 MB (5,255,387 bytes)
Developer Alianda
Category Apps, Business
Package Name com.jinsi
OS 4.1 and up

Jinsi ya Kufanikiwa APPLICATION description

Ni matarajio ya kila binadamu kutaka kufanikiwa maishani mwake.Download App hii
Jinsi Ya Kufanikiwa

Utangulizi

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii
- Utajua jinsi ya kufanikiwa.
- Ushauri wa maisha.
- Jinsi ya kuishi.
- Jinsi ya kupata pesa.
- Jinsi ya kutumia pesa n.k.

Wenye Kutumia

- Ulimwengu nzima kama;
- Vijana na watu wazima;
- Wenye wako kwa ndoa;
- Wenye wanatarajia kuingia kwenye ndoa;
- Kenya;
- Tanzania;
- Uganda;
- Sudan;
- Congo;
- Mozambique;
- Australia;
- South Afrika;
- Burundi;
- Rwanda na nchi nyingi sana kwenye bara la afrika.

Mwisho

Download App hi ya Kiswahili ili ujifunze vile unavyo weza kufanikiwa.
↓ Read more
Jinsi ya Kufanikiwa screen 1 Jinsi ya Kufanikiwa screen 2 Jinsi ya Kufanikiwa screen 3 Jinsi ya Kufanikiwa screen 4 Jinsi ya Kufanikiwa screen 5

Old versions

Version Size Update
⇢ 4.0 (1 variants) ↓ 5.01 MB ◴ 4 years ago
⇢ 1.0 (1 variants) ↓ 4.43 MB ◴ 5 years ago