Kinga ya Muislamu icon

Kinga ya Muislamu

★★★★★
★★★★★
(4.44/5)

1.0Free8 years ago

Download Kinga ya Muislamu APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 668.27 KB (684,312 bytes)
Developer Mahmoud Al-Asmi
Category Apps, Books & Reference
Package Name com.kinga.book.AOUTPDNMXEZAAPHOGH
OS 1.6 and up

Kinga ya Muislamu APPLICATION description

Kinga ya Muislamu. Dua na Adhkaar.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم

Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera)

UTANGULIZI
Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, tunamsifu, tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuomba Atuhifadhi na shari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu. Anayemuongoza Mwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza, hapana wa wa kumuongoza. Nakiri kwamba, hapana apasaye kuabudiwa ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika, na ninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake na ni Mtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zake na Maswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya malipo na Amsalimishe kwa amani nyingi.
Baada ya yaliyotangulia huu ni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIM MIN ADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH”
Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwa majina Yake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hii kuwa, imesafika lengo lake, kwa kutaka radhi zake Mwenyezi Mungu Mtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, na baada ya kufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, au aliyekuwa ni sababu ya kukitawanya, hakika Yeye Mwenyezi Mungu Ndiye Muweza.
Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetu Muhammad صلى الله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake na wanaowafuata hao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
↓ Read more
Kinga ya Muislamu screen 1 Kinga ya Muislamu screen 2 Kinga ya Muislamu screen 3 Kinga ya Muislamu screen 4 Kinga ya Muislamu screen 5 Kinga ya Muislamu screen 6 Kinga ya Muislamu screen 7