Kura Yangu icon

Kura Yangu

★★★★★
★★★★★
(4.44/5)

1.0.1Free8 years ago

Download Kura Yangu APK latest version Free for Android

Version 1.0.1
Update
Size 4.03 MB (4,222,687 bytes)
Developer Wappi
Category Apps, Social
Package Name com.ipf.kurayangu
OS 2.3 and up

Kura Yangu APPLICATION description

Kwa taifa la Tanzania kwa watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015.Toa maoni yako juu ya Maraisi na Wabunge kwa kuangalia nani anayependwa zaidi na kuweza kuchagua unayempenda zaidi kabla ya siku ya kupiga kura 25 Octoba ambayo ni muhimu zaidi kwako kujitokeza kwenda kupiga kura.Naidi waweza kuchangia hoja kwenye chumba cha majidiliano ndani ya programu hii.

MAKALA:
1.Unaweza kumpigia kura ya maoni mgombea uraisi Mara moja
2.Unaweza kumpigia kura ya maoni mgombea ubunge katika Jimbo
3.Unaweza ku chat kwenye chumba cha majadiliano na ma gwiji wa siasa Tanzania
4.Waweza kusambaza programu kwa rafiki zako.

MUHIMU:
Kupiga kura ni haki yako, kupiga kura kutumia programu hii haitoshi kuchagua kiongozi wako bado unahitaji zingatia sana
1.Tunza kadi yako ya kupiga kura.
2.Jitokeze siku ya kupiga kura 25 Octoba.
↓ Read more
Kura Yangu screen 1 Kura Yangu screen 2 Kura Yangu screen 3 Kura Yangu screen 4 Kura Yangu screen 5 Kura Yangu screen 6