Majina Mazuri Ya Allah icon

Majina Mazuri Ya Allah

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free8 years ago

Download Majina Mazuri Ya Allah APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 902.40 KB (924,056 bytes)
Developer Mahmoud Al-Asmi
Category Apps, Education
Package Name com.Asmi.majinamazuriyaallah
OS 2.2 and up

Majina Mazuri Ya Allah APPLICATION description

بسم الله الرحمن الرحيم
Mwenyezi Mungu katuamrisha tumuombe kwa majina Yake.....
بسم الله الرحمن الرحيم

Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema Mwenye Kurehemu

Mwenyezi Mungu S.W.T. katuamrisha sisi Waislamu katika Kitabu Chake, Qurani Tukufu, tumuombe kwa kutumia majina Yake. Kama alivyosema katika Suratil Israa aya ya 110, “

قُلْ ادْعُوا اللَّهَ أَوْ ادْعُوا الرَّحْمَانَ أَيًّا مَا تَدْعُوا فَلَهُ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَى…

Maana yake, “Sema: “Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri…”

Pia Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil A`araaf aya ya 180, “

وَلِلَّهِ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَى فَادْعُوهُ بِهَا وَذَرُوا الَّذِينَ يُلْحِدُونَ فِي أَسْمَائِهِ…

Maana yake, “Na Mwenyezi Mungu ana majina mazuri mazuri; muombeni kwayo. Na waache wale wanaoharibu utakatifu wa majina Yake…”
↓ Read more
Majina Mazuri Ya Allah screen 1 Majina Mazuri Ya Allah screen 2 Majina Mazuri Ya Allah screen 3