Njia ya saada icon

Njia ya saada

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free9 years ago

Download Njia ya saada APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 4.02 MB (4,211,307 bytes)
Developer other
Category Apps, Lifestyle
Package Name com.pathhappinesw.fada
OS 4.0 and up

Njia ya saada APPLICATION description

"Tunakurudisha kwenye misingi, na tunazama pamoja nawe kwenye mantiki ya akili, tutatoa ushahidi wa kauli za wanafalsafa na wana fikra, na tutapita katika njia yetu katika majaribio ya viongozi, watawala na watu mashuhuri katika safari tunatafuta ndani yake furaha na njia yake.
Ni msafara wa kiistaarabu wa kifikra pamoja na furaha na njia zake za kuifikia, ni msafara unaoingia ndani ya nafsi kama vile nyakati na historia inavyopita, na kuangalia mbele, katika kufahamu aina nyingi za mifumo mingi sana, kila moja ikidai kuwa inamiliki njia ya kuelekea kwenye furaha. Tunayofanya ni kwa ajili ya miongozo ya Nafsi na kumzingatia kila mtu, na hivyo kukwea katika msafara wa matarajio ya jamii na umati mbali mbali na Umma katika kufahamu njia ya furaha.
Kuwa pamoja nasi ujionee vigezo mnasaba vya kuchagua njia na kuijua, bali wa kuichagua na kuitathmini….Ni msafara wa kufahamu njia ya kuelekea furahani….njia ya maadili, elimu, ustarabu, rehema na karama…" "Tunakurudisha on the grounds, and we drown with you on the logic of the mind, we give evidence of statements of philosophers and have thought, and we passed on our way in trials of leaders, administrators and influential people in the journey we are looking into it happy with his way.
It caravan kiistaarabu logically with joy and his ways of reaching, a caravan coming into the soul as well as the times and history pass, and look forward, in the determination of many forms too many, each one claiming that owns the way to happy. Tunayofanya are for the guidance of Personality and kumzingatia everyone, and it went up in a caravan of community expectations and the crowd far away from the public in understanding the way of fun.
Be with us and see for seven selection criteria are ways to know, but to choose to examine it ... .It caravan appreciate the way towards rejoicing ... .njia the values, knowledge, modesty, mercy and gift ... "
↓ Read more
Njia ya saada screen 1 Njia ya saada screen 2 Njia ya saada screen 3