Shule Direct Kids icon

Shule Direct Kids

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.9.34Free1 year ago

Download Shule Direct Kids APK latest version Free for Android

Version 1.9.34
Update
Size 41.64 MB (43,658,223 bytes)
Developer Shule Direct Limited
Category Apps, Education
Package Name shuledirect.co.tz.shuledirectkids
OS 5.0

Shule Direct Kids APPLICATION description

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!
Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS
- Kupenda kujifunza
- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote
- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7
- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake
- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi
- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu
- Kuongeza ufaulu


Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE!


KUHUSU SHULE DIRECT
Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeza ufaulu na matokeo chanya ya elimu. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na sekondari. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI
Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.
↓ Read more
Shule Direct Kids screen 1 Shule Direct Kids screen 2 Shule Direct Kids screen 3 Shule Direct Kids screen 4 Shule Direct Kids screen 5 Shule Direct Kids screen 6 Shule Direct Kids screen 7 Shule Direct Kids screen 8 Shule Direct Kids screen 9

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.9.34 (6 variants) ↓ 40.39 MB ◴ 1 year ago
⇢ 1.9.33 (4 variants) ↓ 43.06 MB ◴ 1 year ago
⇢ 1.9.31 (6 variants) ↓ 24.02 MB ◴ 1 year ago