Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi icon

Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free4 years ago

Download Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 3.35 MB (3,513,920 bytes)
Developer Alianda
Category Apps, Dating
Package Name sifa.za.mume
OS 4.1 and up

Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi APPLICATION description

Sifa za Mume mwema - Qualities of a good husband - Husband Material.
Sifa za Mume mwema - Qualities of a good husband.

Husband Material

Mwanzo:

Mume au Husband ni msingi wa familia yeyote. Wanawake wengi huomba mola ili wapate mume mwenye maadili ya kututia na kupendeza. Mapenzi au Love yakinoga kuna yale mambo ambayo unafaa kufuata ili upate mchumba mwenye hata kusumbua kwa nyumba. Bibi yeyote husikia vizuri akipata mume ama husband mwenye maadili ya kupendeza.

Masimulizi Yaliomo kwenye App hii: Sifa za Mume / Qualities of a husband Material.

- Mume ambaye ana mcha mungu;
- Mume ambaye ni msafi;
- Mume ambaye ana timiza majukumu yake;
- Mume ambaye Huwasiliana nawe;
- Mume ambaye Hupenda kutumia wakati wake mwingi mkiwa pamoja;
- Mume ambaye Hukutia moyo;
- Mume ambaye Ni mwaminifu;
- Mume ambaye Hukubali anapokosa;
- Mume ambaye Hukuelewa zaidi ya yeyote yule;
- Mume ambaye Hawezi kukudunisha;
- Mume ambaye Awe mwenye kumcha Mungu;
- Mume ambaye Mwenye kumpenda mke wake kama nafsi yake;
- Mume ambaye Mwenye Kuihudumia Familia Yake;
- Mume ambaye Mwenye kuwafundisha watoto njia inayopasa;
- Mume ambaye ni Msaidizi;
- Mume ambaye Aliyekomaa
- Mume ambaye Hana wivu;
- Mume ambaye Ni wa kutegemewa. N.K.

English Version: Qualities of a good husband:

- Smart and intelligent;
- Good provider;
- Caring;
- Loving;
- Provider;
- Protector;
- Considerate
- Willing to put some effort into the relationship;
- Good communicator;
- Trustworthy. Etc.

Watakao tumia App hii:

- Vijana
- Wasichana
- Wanaume
- Wana ndoa
- Pastors
- Wakristo
- Wazazi

Nchii zinazo lengwa:

- Kenya
- Uganda
- Tanzania
- Congo
- Somalia
- USA
- China
- South Africa nk;

Umuhimu wa App hii:

App hii inawa fundisha wachumba jinsi ya kutambua yule mtu ambaye ni wa kukufaa wewe. Mahaba au Mapenzi peke yake haiwezi kukusaidia kwenye mapenzi ni lazima uzigatie yalioma kwenye App hii.

Mwisho:

Manufaa ya App hii kwa ufupi

- Utaweza kuwa mahiri kwa kujua faida ya mapenzi.
- Utaweza kuwa mahiri kwa Kubembeleza mpenzi
- Utaweza kuwa mahiri kwa kufanya mpenzi wako awe na raha ya mapenzi
- Utaweza kudhumisha urafiki na mpenzi wako.
- Uta kuwa mtu mwenye mapenzi ama LOVE.
- Uta heshimika kwa jamii.

Download qualities of a good husband au sifa za mume na RATE|SHARE|COMMENT.
↓ Read more
Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi screen 1 Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi screen 2 Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi screen 3 Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi screen 4 Sifa za Mume Mwema wa Mahaba na Mapenzi screen 5