Simulizi Za Kusisimua icon

Simulizi Za Kusisimua

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0.5Free5 years ago

Download Simulizi Za Kusisimua APK latest version Free for Android

Version 1.0.5
Update
Size 15.09 MB (15,823,750 bytes)
Developer gicc developers
Category Apps, Entertainment
Package Name com.simulizizamajonzi.app
OS 4.2 and up

Simulizi Za Kusisimua APPLICATION description

Applicatioin hii imeandaliwa na SIMULIZI ENTERTAINMENT ambayo ni brand inayohusika na kuandaa simulizi za audio lakini pia kukusanya hadithi kutoka kwa waandishi mbali mbali lengo ikiwa ni kuinua tasinia ya uandishi na kutangaza vipaji vya waandishi waliobobea na chipukizi katika tasinia hii.. Lakini pia tumenuia kuiburudisha na kuielimisha jamii kupitia kazi za waandishi ambazo zinakua na jumbe mbali mbali kwa hadhira
Kupitia application hii Simulizi Za Kusisimua, utaweza kudownload na kusoma simulizi, chombezo, riwaya na hadithi kutoka kwa waandishi mbali mbali wenye vipaji katika utunzi na uandishi wa hadithi.
Kazi zetu pia utazipata ktk mitandao mbali mbali ya kijamii, youtube channel simulizi mix , facebook page superdancertz , facebook group Simulizi Mix Group, Istagram na twitter @wahabarishaji
Lakini mkusanyiko wa kazi zetu zote katika mitandao yote ya kijamii zipo ndani ya hii application hivyo ukidownload hii application jisikie uko nyumbani, Burudani zote utazipata laive bila chenga.
Ukidownload appication hii basi usisahaau kuwajulisha na wengine kwa kushare application yetu.
Asante
Simulizi Entertainment Tunagusa Hisia Zako.
↓ Read more
Simulizi Za Kusisimua screen 1 Simulizi Za Kusisimua screen 2 Simulizi Za Kusisimua screen 3 Simulizi Za Kusisimua screen 4 Simulizi Za Kusisimua screen 5 Simulizi Za Kusisimua screen 6

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.0.1 (1 variants) ↓ 14.96 MB ◴ 5 years ago
⇢ 1.0 (1 variants) ↓ 14.08 MB ◴ 5 years ago
⇢ 1.0.5 (1 variants) ↓ 15.09 MB ◴ 5 years ago