Siri za Mapenzi icon

Siri za Mapenzi

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free2 years ago

Download Siri za Mapenzi APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 7.34 MB (7,695,208 bytes)
Developer MkaliMangi
Category Apps, Dating
Package Name net.sirizamapenzi.app
OS 4.1 and up

Siri za Mapenzi APPLICATION description

Mahusiano ni changamoto. Jifunze siri ambazo zitakufanya udumu kwenye Mahusiano
Siri za Mapenzi App ni app yenye maudhui ya Lugha ya Kiswahili inayolenga kukupatia ewe msomaji elimu mahususi inayohusu masuala ya Mahusiano. Kupitia hii App utajifunza mambo kadha wa kadha kuhusu mahusiano kama vile:

* Namna ya kuishi vema na mwenzi wako
* Namna sahihi ya kutafuta mwenzi
* Jinsi ya kutatua migogoro inayotokea katika familia
* Namna ya kudumisha na kuboresha penzi
* Staili mbalimbali za tendo la ndoa
* Miiko na makatazo ambayo ni sumu katika mahusiano
*N.K

Usisite kumshirikisha app hii na rafiki ili aweze kuongeza ufahamu wake kwenye masuala ya mahusiano.
↓ Read more
Siri za Mapenzi screen 1 Siri za Mapenzi screen 2 Siri za Mapenzi screen 3 Siri za Mapenzi screen 4 Siri za Mapenzi screen 5 Siri za Mapenzi screen 6

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.0 (11 variants) ↓ 7.64 MB ◴ 3 years ago