Siri Za Mapenzi icon

Siri Za Mapenzi

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free3 years ago

Download Siri Za Mapenzi APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 3.42 MB (3,590,777 bytes)
Developer Alianda
Category Apps, Entertainment
Package Name siri.ya.mapenzi
OS 4.1 and up

Siri Za Mapenzi APPLICATION description

Je? Unahaja ya kujua Siri za Mapenzi? Tumia hii App na utanufaika sana.
SIRI ZA MAPENZI

MWANZO

Je wewe uko kwa uhusiano wowote au uko na mpenzi? Basi App hii ni ya watu ambao wana penda Love au mahaba. Penzi lako litadumu ukijua mambo yenye yako kwenye App hii.

UMUHIMU WA SIRI ZA MAPENZI

Ndoa ni kitu cha maana sana. Ndoa bila penzi sii ndoa kabisa. App hii ina manufa mengi sana kwa wenye ndoa ili waweze kudhumisha ndoa na waishi kwa Amani. Mume ama mke, wote wanashiriki pamoja na wan jenga taifa. App hii itasaidia kuzuia mpango wa kando kwenye ndoa na mengine yafuatayo;

- Mahaba kwenye ndoa;
- Upendo Kwenye ndoa;
- Furaha kwenye ndoa;
- Watoto kwenye ndoa;
- Upendo kwenye ndoa;
- Furaha kwenye ndoa;
- Mapenzi kochokocho.

YALIYOMO KWENYE SIRI ZA KITANDANI

- Siri za mapenzi;
- Siri za mke kuzingatia;
- Siri za mume kuzingatia;
- Siri za tendo la ndoa;
- Ujuzi wa mapenzi;
- Jinsi ya kupenda;
- Jinsi ya kuvaa;
- Jinsi ya kujitunza;
- Jinsi ya kumbebeleza mke na hata mume;
- Tendo la ndoa kwa watu wilyo koma.
- Maneno matamu kama; Pole/ Samahani, Nimebahatika kuwa nawe, Nimekusamehe, Nipo hapa kwa ajili yako, Nakuamini na kadhalika.

WENYE KUTUMIA

- Ulimwengu nzima kama;
- Vijana na watu wazima;
- Wenye wako kwa ndoa;
- Wenye wanatarajia kuingia kwenye ndoa;
- Kenya;
- Tanzania;
- Uganda;
- Sudan;
- Congo;
- Mozambique;
- Australia;
- South Afrika;
- Burundi;
- Rwanda na nchi nyingi sana kwenye bara la afrika.

MWISHO

Pata nafasi na usome App hii, tafadhali Rate App hii kwenye Google Play na sambaza kwa wengine ili tuweze kudhumisha ndoa zenye furaha tupu. App hii itakufanya uwe hodhari sana na mwenye mahaba tele.
↓ Read more
Siri Za Mapenzi screen 1 Siri Za Mapenzi screen 2 Siri Za Mapenzi screen 3

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.0 (2 variants) ↓ 4.85 MB ◴ 5 years ago