Tenzi Za Rohoni icon

Tenzi Za Rohoni

★★★★★
★★★★★
(5.00/5)

2 . 1 . 8Free5 months ago

Download Tenzi Za Rohoni APK latest version Free for Android

Version 2 . 1 . 8
Update
Size 7.83 MB (8,208,864 bytes)
Developer Awesomecode Tanzania
Category Apps, Books & Reference
Package Name com.awesomecodetz.tenzizarohoni
OS 4.1

Tenzi Za Rohoni APPLICATION description

kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
↓ Read more
Tenzi Za Rohoni screen 1 Tenzi Za Rohoni screen 2 Tenzi Za Rohoni screen 3 Tenzi Za Rohoni screen 4 Tenzi Za Rohoni screen 5 Tenzi Za Rohoni screen 6 Tenzi Za Rohoni screen 7 Tenzi Za Rohoni screen 8

Old versions

Version Size Update
⇢ 2 . 0 . 8 (4 variants) ↓ 4.84 MB ◴ 1 year ago
⇢ 2 . 0 . 7 (3 variants) ↓ 4.72 MB ◴ 1 year ago
⇢ 2 . 0 . 6 (1 variants) ↓ 4.73 MB ◴ 1 year ago