Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 icon

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

★★★★★
★★★★★
(4.70/5)

2.4.6Free1 year ago

Download Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 APK latest version Free for Android

Version 2.4.6
Update
Size 7.72 MB (8,092,626 bytes)
Developer Robert Londo
Category Apps, Books & Reference
Package Name tz.co.wadau.tenzizarohoni
OS 4.1

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 APPLICATION description

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
↓ Read more
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screen 1 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screen 2 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screen 3 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screen 4 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screen 5

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.6.0 (1 variants) ↓ 2.79 MB ◴ 6 years ago
⇢ 2.4.6 (1 variants) ↓ 7.72 MB ◴ 1 year ago
⇢ 2.4.5 (1 variants) ↓ 7.72 MB ◴ 1 year ago