Tumaini Library (O-level and A-level study notes) icon

Tumaini Library (O-level and A-level study notes)

★★★★★
★★★★★
(4.00/5)

1.0Free5 years ago

Download Tumaini Library (O-level and A-level study notes) APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 4.52 MB (4,735,616 bytes)
Developer KPS Apps
Category Apps, Education
Package Name elibrary_apps.tumaini_library.school_notes_app
OS 4.0.3 and up

Tumaini Library (O-level and A-level study notes) APPLICATION description

About Tumaini Elibrary
Tumaini Library ni Elibrary app yenye notes za O level na A level kwa kuzingatia syllabus ya Tanzania.

Quality and Readability
Notes za Olevel na Alevel zipo kwa ubora wa hali ya juu na pia unaweza kusoma offline bila internet connection (inahitaji data connection kwa mara ya kwanza ili kushusha notes za O level & A level na kuzisave automatically kwenye simu yako).

Matumizi
Tumaini elibrary ni suluhisho kwa walimu na wanafunzi wenye mahitaji ya notes za level zote yani A level na o level.
Tumaini Library inaweza kutumika kwa mahitaji binafsi tuu pale unapoona content zinakufaa kwaajili ya kusomea au kufundishia.

Notes Zilizopo:

1. Physics O level & Advance
notes za physics form one
notes za physics form two
notes za physics form three
notes za physics form four
notes za physics form five
notes za physics form six

2. Chemistry O level & A level
notes za chemistry form one
notes za chemistry form two
notes za chemistry form three
notes za chemistry form four
notes za chemistry form five
notes za chemistry form six

3. Biology O level and Advanced Level
notes za Biology form one
notes za Biology form two
notes za Biology form three
notes za Biology form four
notes za Biology form five
notes za Biology form six

4. Mathematics for O level and A level
notes za Mathematics form one
notes za Mathematics form two
notes za Mathematics form three
notes za Mathematics form four
notes za Pure Mathematics & BAM form five
notes za Pure Mathematics & BAM form six

5. Civics
notes za Civics form one
notes za Civics form two
notes za Civics form three
notes za Civics form four

6. History O level & A level
notes za History form one
notes za History form two
notes za History form three
notes za History form four
notes za History form five
notes za History form six

7. Geography O level & A level
notes za Geography form one
notes za Geography form two
notes za Geography form three
notes za Geography form four
notes za Geography form five
notes za Geography form six

8. Kiswahili O level & A level
notes za kiswahili form one
notes za kiswahili form two
notes za kiswahili form three
notes za kiswahili form four
notes za kiswahili form five
notes za kiswahili form six

9. Commerce O level & A level
notes za Commerce form one
notes za Commerce form two
notes za Commerce form three
notes za Commerce form four
notes za Commerce form five
notes za Commerce form six

10. Computer (O level)
notes za Computer form one
notes za Computer form two
notes za Computer form three
notes za Computer form four

11. English/Literature O level & A level
notes za english form one
notes za english form two
notes za english form three
notes za english form four
notes za Literature in english form five
notes za Literature in english form six

12. Economics (A level)
notes za economics form five
notes za economics form six

Baadhi ya material yanawezekana yasiwepo au yakawa yamekosewa kidogo. Usisite kututaarifu kwaajili ya marekebisho.

Wasiliana nasi kupitia
http://tumainilibrary.blogspot.com

Kumbuka:
App hii ni bure
Notes za O-level na A-level zinapatikana offline kupitia Tumaini Library pekee
App hii ni rahisi zaidi kutumia
Usomaji na utumiaji kwa ujuma umeboreshwa
App hii ni ya kisasa na imekidhi viwango vinavyokubalika.
App hii imezingatia syllabus ya Tanzania ingawa inaweza pia kutumika katika nchi nyingine.

Inaruhusiwa kwa watoto walio chini ya miaka kumi na nane. Weka karibu na watoto ?.
↓ Read more
Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 1 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 2 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 3 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 4 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 5 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 6 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 7 Tumaini Library (O-level and A-level study notes) screen 8