Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 Apk

Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 iconShow qr code
Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 qrcode
Follow UpdatesRequest Updates

0

0 votes, 4/ 5
Download Now

Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 v2.5 Apk screenshots

Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020

The description Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 Apk

Kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu chenye Nyimbo ,Liturgia na Kalenda. Pia utaweza kutuma michango kupitia app hii na kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia Maoni tutayafanyia kazi.
Malipo yamerahisishwa sana.(Kwa sasa malipo ni moja kwa moja ndani ya app bila kutoka nje.)

JINSI YA KUNUNUA KITABU
1. Download kitabu na kukiinstall kupitia hapa Playstore (N:B hutaweza kufungua Nyimbo mpaka utakapo kilipia)
2.Sajili namba yako ya simu kwenye app
Muhimu:
Hakikisha una salio lisilopungua sh 3,000/- kwenye namba uliyosajilia(ili kupata nyimbo na liturgia), Sh1,000/- kupata kalenda
Kama huna salio kwenye namba uliyosajili ni vizuri kujaza salio kabla ya kubonyeza “nunua sasa”
3.Bonyeza “NUNUA SASA”
Kwa wateja wa TIGOPESA na MPESA malipo ni moja kwa moja ndani ya app bila kutoka nje,fuata jinsi app inavyokuelekeza
Kwa wateja wa AIRTELMONEY tu Bonyeza NUNUA SASA, nakili namba ya kampuni pamoja na kumbukumbu namba ya kufanya muamala. Utahitajika kutoka nje ya app kufanya muamala, hakikisha unafanya muamala kwa kutumia namba uliyosajilia kwenye kitabu(usitumie namba nyingine tofauti na uliyosajili kwenye kitabu kuepuka usumbufu)
Kwa wateja wa nje ya nchi tumia PESAPAL lipa kwa credit card au option mbalimbali zinazotolewa na pesapal
Leseni(license) ya matumizi ni kwa namba moja ya simu uliyosajili kwenye kitabu, ndio inayotambuliwa kwa miamala yote
Pia tuma mchango/sadaka au chochote kupitia app hii kwa kutumia sehemu ya CHANGIA
Kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia sehemu ya MAONI( tutayafanyia kazi)

MABORESHO YALIYOMO
*Nyimbo zote 440 kwa usahihi
*Kalenda ya 2019
*Liturgia iliyoboreshwa(toleo jipya la 2019)
*Tafuta ukurasa wowote wa liturgia
*Tafuta kifungu chochote(text/phrase) ndani ya liturgia
*Tafuta wimbo wowote kwa namba au jina
*Unaweza toa maoni yako mojakwamoja kupitia kitabu yatatufikia
*Unaweza kutoa mchango wako kupitia changia
*Neno la siku(notifications)
*Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM,TIGO na Airtel

Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 2.5 APK Download BoxBack top

 • 2.5
 • Android 4.1.x - Jelly Bean (SDK: 16)
 • March 20, 2020
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • a47ba957db172e5d9a7a025a1eda1b92
 • MABORESHO 2020
  Kitabu Kipya Cha Nyumba Kwa Nyumba 2020
  Nyimbo zote 440 kwa usahihi
  Kalenda ya 2020
  Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM,TIGO na Airtel
  Liturgia iliyoboreshwa(toleo jipya la 2020
  Kwamsaada PIGA 0764931035
 • View Permissions
 • 2.5
 • Android 4.1.x - Jelly Bean (SDK: 16)
 • February 1, 2020
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • 2f59e3361bd68a54f2025c2df73142ff
 • MABORESHO 2020
  Kitabu Kipya Cha Nyumba Kwa Nyumba 2020
  Nyimbo zote 440 kwa usahihi
  Kalenda ya 2020
  Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM,TIGO na Airtel
  Liturgia iliyoboreshwa(toleo jipya la 2020
  Kwamsaada PIGA 0764931035
 • View Permissions
 • 2.3
 • Android 4.1.x - Jelly Bean (SDK: 16)
 • June 2, 2019
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • fbab35974e66730d1dfdfbcef9146bef
 • View Permissions
 • 2.1
 • Android 4.1.x - Jelly Bean (SDK: 16)
 • March 30, 2019
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • 5966528e28a67cf3bb6dac847cc2fb03
 • View Permissions
 • 2
 • Android 4.1.x - Jelly Bean (SDK: 16)
 • January 4, 2019
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • 24446492d25ce14e504050f46bc28ca3
 • View Permissions
 • 1.8.6
 • Android 4.1.x - Jelly Bean (SDK: 16)
 • November 23, 2018
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • 8a45cf2ae5e9130d7c37969fe368e607
 • View Permissions
 • 1.8.2
 • Android 4.0.x - Ice Cream Sandwich (SDK: 15)
 • April 27, 2018
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • c1189647585dfcf2b2821d3fac3c1c32
 • Nyimbo zote 440 kwa usahihi
  Kalenda ya 2018
  Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM,TIGO na Airtel
  Liturgia iliyoboreshwa(toleo jipya la 2018)
  Tafuta ukurasa wowote wa liturgia
  Tafuta kifungu chochote(text/phrase) ndani ya liturgia
  Tafuta wimbo wowote kwa namba au jina
  Unaweza toa maoni yako mojakwamoja kupitia kitabu yatatufikia
  Unaweza kutoa mchango wako kupitia changia
  Neno la siku(notifications)
  Chagua nchi
 • View Permissions
 • 1.0.5
 • Android 4.0.x - Ice Cream Sandwich (SDK: 14)
 • December 27, 2017
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • 9c1746d5fe06ebfaf13242b313d1c842
 • - Sasa unaweza kununua kitabu na kuchangia kupitia app yetu
  - Unaweza kupata msaada kwa kutuma maoni yako au kupiga simu kwetu moja kwa moja kutokea kwenye app
 • View Permissions
 • 1.0.2
 • Android 4.0.x - Ice Cream Sandwich (SDK: 14)
 • October 6, 2017
 • DE667DC1043D02A6A8F2FBB207486EB16917C017
 • 584ee03d689fe6087ad0e0b8e7f2c1b2
 • - Sasa unaweza kununua kitabu na kuchangia kupitia app yetu
  - Unaweza kupata msaada kwa kutuma maoni yako au kupiga simu kwetu moja kwa moja kutokea kwenye app
 • View Permissions

10 recent comments of Tumwabudu Mungu Wetu KKKT 2020 APK

stone peter

Tunaomba muweke tone au beat mtu akitaka kuimba hata kama haijui nyimbo tone hiyo iweze kumuongoza wakati anaimba iwe kama instrumental pia mlolongo wa malipo ni mrefu jitahidini kuupunguza. Asanteni

Aggrey2107

NASHINDWA KUINGIA KWA KUWA HAKUNA INTERNATIONAL SETTING ZA SIMU KUPATA CODE ILI NIWEZE KUPATA KITUMISHI NATUMIA NUMBER YA UINGEREZA

Jacob Kamasho

Bado kitabu kinahitaji maboresho makubwa ile kiwe rafiki katika matumizi. Layout ya nyimbo bado haijakaa sawa. Utaratibu wa kununua kitabu ni mrefu na mgumu kwa mtu wa kawaida.

Emmanuel Mawa

Nimependezwa sana na maboresho ya kitabu hiki. Mungu awape maono zaidi ili injili isonge mbele. Kila la heri katika kutimiza wajibu wenu. Ame

nimefurahishwa mnooooo maana huwa najisikia kuimba muda mwingine na kitabu kinakuwa mbali

Thanx for this book.. Mwenyezi Mungu awabariki...

Social Networks