Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho icon

Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

★★★★★
★★★★★
(4.34/5)

2.1.0Free5 years ago

Download Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho APK latest version Free for Android

Version 2.1.0
Update
Size 7.30 MB (7,659,208 bytes)
Developer RaJoApps
Category Apps, Entertainment
Package Name com.vichekesho.app
OS 4.0.3 and up

Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho APPLICATION description

Vichekesho Vipya - Picha,Video & SMS Za Vichekesho

App Hii imetengenezwa kwa lengo la kukufurahisha, kukuburudisha na kukuvunja mbavu muda wowote na mahali popote kwani tumekukusanyia vituko na Vioja vya kila aina katika category za:-
Video za Vichekesho
Picha za vichekesho na
SMS za Vichekesho.

Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti,Mzee ,Uswege Murderer,Majuto,Mkaliwenu,Ebitoke,Mpoki,Masanja,MC Pilipili,Kingwendu,Bambo,Katarina wa Karatu,Madenge,Mkude Simba,Bwakila,Mau,Kinyambe,Eric Omondi na wengine kibao vinapatikana hapa..!

ZAIDI:
Tutakupatia Vichekesho vipya kila siku na Unaweza kushare Videos, Picha na SMS.

PICHA ZA VICHEKESHO:
Unaweza KuDOWNLOAD picha yeyote inayopatikana kwenye Vichekesho App na ukawanayo kwenye simu yako.
Utapatiwa Majibu ya Maswali Yote yafuatayo, Kama unahitaji kupata..
* Picha mbalimbali za Vichekesho
* Picha kali za vichekesho
* Picha za kuchekesha Ulaya, India, Kenya Pakistani, Uarabuni na Duniani Pote.
* Picha za Vichekesho Download For Free
* Picha za Vichekesho Vya Whatsapp

Unaweza kuset picha yeyote kama Background image ya simu yako na Pia,
Unaweza kushare na marafiki picha kwenye mtandao wowote kama Whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k

SMS ZA VICHEKESHO
Katika Section Hii ya Message / SMS za vituko vya kufurahisha,
Unaweza Kutuma SMS ya kichekesho chochote kwa Mpenzi, Rafiki, mshikaji au mtu yeyote ambaye utapenda kushare nae katika mfumo wa message za kawaida kabisaaa
SMS za Utani,
SMS kwa Rafiki za Kumchekesha
Meseji za Vichekesho Vunja mbavu
Sms za Vichekesho za mapenzi

VIDEO ZA VICHEKESHO.
Vichekesho App inakupa uwezo wa Kuenjoy Video za Vichekesho mbali mbali kama,
Vichekesho Vya Whatsapp
Vichekesho Vya Instagram
Vichekesho vya Facebook
Vichekesho Vya Instagram na Vingine kibao!.

Features zitakazoongezwa hivi karibuni katika Update ijayo ni
Kudownload Video za Vichekesho
Download Video za Youtube za vichekesho na vunjambavu.

Pia unaweza kushare video hizo bila ya kuwa na shida yeyote kabisa.

FAVOURITES
You may share these funny text, sms, Videos and images with friends through Whatsapp, facebook, instagram, etc
Be ready to get Daily Udates and free download service integrated in our app.

DISCLAIMER:
We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.
↓ Read more
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 1 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 2 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 3 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 4 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 5 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 6 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 7 Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screen 8

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.9 (1 variants) ↓ 5.75 MB ◴ 6 years ago
⇢ 1.5 (1 variants) ↓ 5.71 MB ◴ 6 years ago
⇢ 1.3 (1 variants) ↓ 5.71 MB ◴ 6 years ago