WasafiTV live! icon

WasafiTV live!

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.2.0Free5 years ago

Download WasafiTV live! APK latest version Free for Android

Version 1.2.0
Update
Size 5.62 MB (5,897,340 bytes)
Developer BongoChoice
Category Apps, Video Players & Editors
Package Name com.wasafitvtz.apptz
OS 4.0.3 and up

WasafiTV live! APPLICATION description

Wasafi Tv ni (Unofficial APP) inayopost posts zinahosu WCB wasafi
Kupitia App hii utapata Ubuyu na burudani mbalimbali kutoka kwa wasnii wa WCB na pia kutoka tasnia nzima ya burudani!
Sanaa Imezaliwa upya
Shilingi Imejeuka
Hawaamini wanachokiona
Tumewashaaaa
Hizo ni baadhi ya Motto za WCB wasafi App!!Ungana nasi
Kupitia App hii utakutana na watu wa Nguvu kama Vile:

Diamond Platnumz(Chibu dee chubu Deeee)
Harmonize (Konde Boy)
Lava Lava
Rayvanny
Mboso Khan
Queen Darleen

Muhimu: App hii haimiliki Maudhui yoyote tunashare Maudhui tunayoyapata kwenye mitandao ya kijamii ,Hivyo kwa Matatizo yoyote yanayohusu App hii tutumie email hapa [email protected], Tutatoa ushirikiano mara moja
↓ Read more
WasafiTV live! screen 1 WasafiTV live! screen 2 WasafiTV live! screen 3