Download YANGA WANANCHI APK latest version Free for Android
Version | 1.0 |
Update | 3 years ago |
Size | 12.05 MB (12,637,496 bytes) |
Developer | Dmk Tech |
Category | Apps, News & Magazines |
Package Name | com.yanga.wananchi |
OS |
YANGA WANANCHI APPLICATION description
Official Application ya Wananchi Wa Yanga (DAIMA MBELE NYUMA MWIKO)
Official application ya mashabiki wa kindaki ndaki wa wanga. Application hii ni mahususi kwa ajiri ya mashabiki na wapenzi wa nyanga pekeyake. itakupa nafasi ya kujifunza mambo tofauti tofauti juu ya club yetu tuipendayo ya yanga africa huku ikitusogeza karibu na viongozi wetu wenye dhamana ya kutuongoza.
Chapisha machapisho yanayo husu Yanga yetu kwa pamoja tuijenge timu yetu.
Download share kadri uwezavyo ili wana yanga tuwe mbele sikuzote.
Matusi na lugha zisizo faa hazita vumilika na zitapelekea kufungwa kwa account yako.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

↓ Read more