Ajira.go.tz App icon

Ajira.go.tz App

★★★★★
★★★★★
(0.00/5)

1.0Free6 years ago

Download Ajira.go.tz App APK latest version Free for Android

Version 1.0
Update
Size 10.26 MB (10,756,995 bytes)
Developer Mr Mbena
Category Apps, News & Magazines
Package Name com.ajira.go.tz.app
OS 4.0 and up

Ajira.go.tz App APPLICATION description

App ya ajira.go.tz ni muhimu sana kwa vijana tunaotafuta kazi, Ukiweka app hii kwenye simu yako utajulishwa kila nafasi za kazi zinapowekwa kwenye mtandao wa serikali wa ajira.go.tz

Hutachelewa tena kutuma maombi kwa kuchelewa kupata taarifa za nafasi za kazi serikalini. Pia utaweza kupata taarifa za usaili kwa haraka na kuanza kujiandaa kwa maswali yatakayoulizwa ili uweze kufaulu usaili wako na utajulishwa kwa haraka siku matokeo ya usaili yakitoka.

App hii ina kipengele cha kutoa mafunzo ya jinsi ya kujibu maswali ya usaili na mafunzo mengine muhimu kwa vijana tunaotafuta ajira.

kumbuka app hii haimilikiwi na secretariat ya ajira tazania wala tovuti yoyote ya utumishi. App hii pia haimilikiwi na mfanyakazi wa secretariat ya ajira wa mfanyakazi wa utumishi.

App hii inamilikiwa na Kijana wa kitanzania mwenye mapenzi mema na maendeleo ya vijana kwa lengo la kuwawezesha waweze kupata taarifa kwa haraka pindi zikiwekwa kwenye tovuti ya serikali ya ajira.go.tz. Haturekebishi , hatuongezi wala kupunguza chochote kilichowekwa kwenye mtandao wa ajira.go.tz

Vipengele vingine vilivyomo kwenye app kama Elimu juu ya usaili vinaandaliwa na mmiliki wa app hii na sio wafanyakazi wa ajira.go.tz
↓ Read more
Ajira.go.tz App screen 1 Ajira.go.tz App screen 2 Ajira.go.tz App screen 3 Ajira.go.tz App screen 4 Ajira.go.tz App screen 5

Old versions

Version Size Update
⇢ 1.0 (2 variants) ↓ 10.25 MB ◴ 6 years ago